SHUKURANI ZA DHATI KWA WADAU WOTE WALIOTUUNGA MKONO NA KUKUBALIANA NA MAWAZO YA WATANZANIA WENZETU KATIKA KUKAMILISHA UTOAJI TUZO MBALI MBALI KWA WADAU WA BURUDANI, TAREHE 19/12/2008 ITAKUWA SIKU AMBAYO HAITASAHAULIKA KWA WALE WOTE WALIOTUNUKIWA TUZO ZA UTAMBULISHO NA KAMPUNI MAMA YA SMILING FACES! LENGO KUBWA LA UTOAJI TUZO ZA UTAMBULISHO KWA WADAU WA BURUDANI ILIKUWA NI KUWAPA MOYO NA HAMASA YA KUFANYA KAZI ZAO KWA JUHUDI. NA TUNASHUKURU KILA MTU ALILIRIDHIKA NA KUONYESHA SHUKURANI ZAKE!
TUZO HIZO ZILITOLEWA KATIKA UKUMBI WA REGENCY PARK HOTEL NA ZILISINDIKIZWA NA SHOW YA MAVAZI KUTOKA KWA WABUNIFU WAKITANZANIA, CAROLYNE PETER, MARTIN KADINDA NA KEMMY KALIKAWE,
AMA KWELI RED CARPET APPEARANCE ILIKUWA N SHOW KUBWA NA TUNA MSHUKURU MUNGU KWA KTUPA UJASIRI NA UWEZO WA KUIENDESHA SHUGHULI HII!
TUZO HIZO ZILITOLEWA KWA;
BELINA MGENI- MOST ATRACTIVE MODEL
MAIMARTHA JESSE- BEST FEMALE PRESENTER
MARTIN KADINDA- MOST TALENTED MODEL
IRENE UWOYA- THE SEXIEST ACTRESS
MAHSEIN AWADH- MOST OUTSTANDING ACTOR
YUSUPHU MLELA- UPCOMING ACTOR
NA WENGINEO KIBAO
No comments:
Post a Comment