Wednesday, May 6, 2009

TUZO

MKURUGENZI WA SMILING FACES (IBRAHIM MPINGA) AKIKABIDHI TUZO KWA MAIMARTHA JESSE ALIYETWAA TUZO YA MTANGAZAJI BORA WA KIKE 2008-2009, KUSHOTO NI MBUNIFU WA MITINDO TANZANIA ASIA IDAROUS
SHUKURANI ZA DHATI KWA WADAU WOTE WALIOTUUNGA MKONO NA KUKUBALIANA NA MAWAZO YA WATANZANIA WENZETU KATIKA KUKAMILISHA UTOAJI TUZO MBALI MBALI KWA WADAU WA BURUDANI, TAREHE 19/12/2008 ITAKUWA SIKU AMBAYO HAITASAHAULIKA KWA WALE WOTE WALIOTUNUKIWA TUZO ZA UTAMBULISHO NA KAMPUNI MAMA YA SMILING FACES! LENGO KUBWA LA UTOAJI TUZO ZA UTAMBULISHO KWA WADAU WA BURUDANI ILIKUWA NI KUWAPA MOYO NA HAMASA YA KUFANYA KAZI ZAO KWA JUHUDI. NA TUNASHUKURU KILA MTU ALILIRIDHIKA NA KUONYESHA SHUKURANI ZAKE!

TUZO HIZO ZILITOLEWA KATIKA UKUMBI WA REGENCY PARK HOTEL NA ZILISINDIKIZWA NA SHOW YA MAVAZI KUTOKA KWA WABUNIFU WAKITANZANIA, CAROLYNE PETER, MARTIN KADINDA NA KEMMY KALIKAWE,

AMA KWELI RED CARPET APPEARANCE ILIKUWA N SHOW KUBWA NA TUNA MSHUKURU MUNGU KWA KTUPA UJASIRI NA UWEZO WA KUIENDESHA SHUGHULI HII!

TUZO HIZO ZILITOLEWA KWA;

BELINA MGENI- MOST ATRACTIVE MODEL

MAIMARTHA JESSE- BEST FEMALE PRESENTER

MARTIN KADINDA- MOST TALENTED MODEL

IRENE UWOYA- THE SEXIEST ACTRESS

MAHSEIN AWADH- MOST OUTSTANDING ACTOR

YUSUPHU MLELA- UPCOMING ACTOR

NA WENGINEO KIBAO

comercials

Smiling faces company inakuletea filamu mbili kwa mpigo! GHOST, pamoja na PLAYBOY. hizi si filamu za kukosa kwani utakutana na mikasa ya kutisha, kusisimua, kuliwaza na kukupa burudani ya kukata na shoka, tazama vipande vya filamu hizi!! ni uhondo usiopaswa kuukosa ndugu yangu!